MABONDIA ABDALLAH PAZI NA JAKOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA JULAI 15

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Jakobo Maganga kutoka Tanga kushoto na Abdalla ...



Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Jakobo Maganga kutoka Tanga kushoto na Abdalla Pazi 'Dulla Mbabe' wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika julai 15 jijini Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS



Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' wa Dar na Jakobo Maganga wa Tanga wamesaini kuzipiga julai 15 katika jiji la Dar es salaam Tanzania

akizungumza baada ya kuwasainisha mabondia hawo Promota Dotto Texas amesema kuwa ana ongea na mabondia watakaocheza utangulizi siku hiyo kwa kuwa mchezo uho utakuwa wa kujua nanio zaidi katika uzito wa KG 76

hivyo wapenzi na mashabiki wakae mkao wa kula kwani mpambano huu ni wa kujua nani ni nani katika mchezo wa masumbwi nchini

haidha promota huyo alieleza kuwa punde watawatangazia mashabiki kuwa wachezaji wengine walio ingia mikataba kwa ajili ya kucheza siku hiyo ni nani na nani ila nina wahakikishia mapambano yote yatakuwa bora zaidi kwani ngumi kwa sasa zina ushabiki mkubwa sana

nae bondia Maganga kutota tanga alieleza kuwa ameanza mazoezi kwa ajili ya mpambano uho kwani Pazi ni mtoto mdogo katika masumbwi na bado ajakomaa katika ngumi hivyo asitarajie ushindi kabisa hapa ni kipigo tu

akijibu mapigo Pazi alisema kwake yeye ngumi sio taarabu kwani mikono ndio inayofanya kazi ivyo ameomba mashabiki kuja kwa wingi na promota ataalishe machela kabisa siku ya mpambano 

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi nchini

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABONDIA ABDALLAH PAZI NA JAKOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA JULAI 15
MABONDIA ABDALLAH PAZI NA JAKOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA JULAI 15
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjH6dqR6YV1woR3x6urCaiW-DIWflO3CiXKFsLWooxk5pb9093XfQK0IleGeGV-lkIsh3sQEwX_jYOSm5syoz2e4ngTpgww24NWrOXxgIi3csPWBO3ZTT2h8vY6G_OMw6Aq3W7DZRbxPI3W/s640/18582361_1384143671631772_2781496467335852807_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjH6dqR6YV1woR3x6urCaiW-DIWflO3CiXKFsLWooxk5pb9093XfQK0IleGeGV-lkIsh3sQEwX_jYOSm5syoz2e4ngTpgww24NWrOXxgIi3csPWBO3ZTT2h8vY6G_OMw6Aq3W7DZRbxPI3W/s72-c/18582361_1384143671631772_2781496467335852807_n.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mabondia-abdallah-pazi-na-jakobo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mabondia-abdallah-pazi-na-jakobo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy