LOWASSA AUNGANA NA WAISLAMU KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa,(wapili kulia), akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu...



Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa,(wapili kulia), akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu waliojumuika pamoja kwenye futari iliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Mhe. Mwita Waitara(kulia) hapo juzi. Waislamu kote nchini wanaungana na wenzao duniani katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr Jumatatu Juni 26, baada ya kukamilisha ibada ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 Mhe. Lowasa akizungumza baada ya futari hiyo
 Mhe. Waitara akizungumza baada ya futari hiyo
 Mhe. Lowassa akisalimiana na wageni waalikwa kwenye futari hiyo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LOWASSA AUNGANA NA WAISLAMU KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA
LOWASSA AUNGANA NA WAISLAMU KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf20hKGMQaQs_3G3ZcLmpe1SaPH1_7DiLiGu_obtP3hloCN9OuSt91e4YOCasKiBUCgmWHFPbkm2lHb8Va0D66AR2PA0RceP-DPCCX4IQVcAry91a4Jt6osqYnlYV65atBa6y2vrxTCWs/s640/A.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf20hKGMQaQs_3G3ZcLmpe1SaPH1_7DiLiGu_obtP3hloCN9OuSt91e4YOCasKiBUCgmWHFPbkm2lHb8Va0D66AR2PA0RceP-DPCCX4IQVcAry91a4Jt6osqYnlYV65atBa6y2vrxTCWs/s72-c/A.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/lowassa-aungana-na-waislamu-katika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/lowassa-aungana-na-waislamu-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy