KIJIJI CHA SHUJAAZ CHAFUNGULIWA KATIKA MASHINDANO YA EAC 2017 MJINI MOSHI

Mwakilishi wa Taasisi ya Wel tel Story ,watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz,Alan Lucky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichan...


Mwakilishi wa Taasisi ya Wel tel Story ,watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz,Alan Lucky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu kufunguliwa kwa kijiji cha Shujaaz katika Mashindano ya vijana ya Afrika Mashariki maarufu kama East Africa Cup 2017 yanayofanyika katika shule ya Sekondari Moshi Ufundi .
Baadhi ya Wageni wakijiandikisha kabla ya kuingia katika kijiji hicho ambako kumekuwa kukitolewa mafunzo mbalimbali hasa ya Kilimo .
Mratibu wa Tafiti wa Mradi wa Shujaaz,Winnie Nyato akitoa tiketi kwa mmoja wa watoto waliotembelea kijiji cha Shujaaz .
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma ,Mohamed Kombo anayejishughulisha na Kilimo cha matunda akizungumza na vijana waliofika katika kijiji cha Shujaaz kuona namna gani wanaweza kuhamasika na kuingia katika shghuli za Kilimo.
Mjasiliamali Khalfa Muslim akitoa elimu jinsi ya kutengeneza mchanganiko wa Matunda kwa vijana waliotembelea kijiji cha Shujaaz kilichopo katka viwanja vya Shule ya sekondari Moshi Ufundi yanapofanyika mashindano ya East Africa Cup 2017.
Mjasiliamali Holo Bukombe akionesha bidhaa mbalimbali ambazo amekuwa akiziweka katika vifungashio maalumu na kuongeza thamani ya bidhaa husika.
Afisa Masoko wa kamuni ya YARA Ltd, Linda Byaba akitoa elimu kuhusu kilimo bora na chenye tija na jinsi ya kuongeza thamani ya mazao mbalimbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya Mbolea kwa Mwakilishi wa taasisi ya Wel tel Story ,Alan Lucky.
Muonekano wa kijiji cha Shujaaz kilichopo katika Shule ya Sekondari Moshi Ufundi ambako elimu mbalimbali hususani za Kilimo pamoja na michez kwa vijana imekuwa ikitolewa.
Baadhi ya watoto wakishindana michezo mbalimbali (Games) katika kijiji cha Shujaaz.
Vijana wengine wamepaa fursa ya kucheza mchezo wa mitupo ndani ya kijiji hicho.
Vijana wengine walipata nafasi ya kuonesha vipaji vyao hasa vya kuimba na kucheza na kuambulia zawadi kutoka Shujaaz.

(Na Dixon Busagaga wa Glob ya Jami, Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIJIJI CHA SHUJAAZ CHAFUNGULIWA KATIKA MASHINDANO YA EAC 2017 MJINI MOSHI
KIJIJI CHA SHUJAAZ CHAFUNGULIWA KATIKA MASHINDANO YA EAC 2017 MJINI MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtBUWZqJVgbUzLjkrK9mcW6b9JOjDo1BwVtyU8tEn_Jdjqj10FyuUNRvU-INJ5kq4ThkZTUKsgpsJQ8nSv2WOw30y1PNGk0uO8897VYRA95WYJ7YjQtZzfbie11OR4PUDivde2FbkBQHox/s640/_MG_0865.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtBUWZqJVgbUzLjkrK9mcW6b9JOjDo1BwVtyU8tEn_Jdjqj10FyuUNRvU-INJ5kq4ThkZTUKsgpsJQ8nSv2WOw30y1PNGk0uO8897VYRA95WYJ7YjQtZzfbie11OR4PUDivde2FbkBQHox/s72-c/_MG_0865.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/kijiji-cha-shujaaz-chafunguliwa-katika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/kijiji-cha-shujaaz-chafunguliwa-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy