KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE, NJIRO MKOANI KILIMANJARO.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (kulia) akisalimiana na na Mwe...

5
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (kulia) akisalimiana na na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Njiro  yaliyopo Moshi Mkoani kilimanjaro, Nyasi Athanas wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
 
unnamed
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto, (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi ya kulea wazee ya Njiro hivi karibuni.
1
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii)  Sihaba Nkinga (kulia) akizungumza na Afisa Mfawidhi wa  Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro, Ndeta Tenga wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
2
Afisa Mfawidhi wa  Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro, Ndeta Tenga (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (kulia) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
3
 Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro, Ndeta Tenga (katikati) akimuonesha mazingira ya kituo hicho Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
 4
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee mbalimbali waishio katika Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
 
unnamed
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Njiro yaliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro. (Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE, NJIRO MKOANI KILIMANJARO.
KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE, NJIRO MKOANI KILIMANJARO.
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/5-6.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii_5.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii_5.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy