KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akio...


Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani pamoja na viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (wa tatu kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa akimuelezea kuhusu chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi hivi karibuni.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.
 
Muonekano Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni.
 
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Sihaba Nkinga (kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.
(Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI
KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNCBrecWc12yDEg0V92j24Mkv6Cb1lflaZQHhJm44-EcClblC_WImBVnUeoyIXuAhpJ84VJGw2jK34VyNzO6XPs2473DO0MuJRQ7QaXhq53e-NfGEVR-J8gc0m8ZztbGcV-HRbI-G94t4/s640/BUK4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNCBrecWc12yDEg0V92j24Mkv6Cb1lflaZQHhJm44-EcClblC_WImBVnUeoyIXuAhpJ84VJGw2jK34VyNzO6XPs2473DO0MuJRQ7QaXhq53e-NfGEVR-J8gc0m8ZztbGcV-HRbI-G94t4/s72-c/BUK4.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy