Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt. Donalth Ulomi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza...
Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt. Donalth
Ulomi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza
hati iliyopewa kampuni hiyona ambayo inaiwezesha Kampuni kumilikiwa na Umma wa Watanzania.
Ulomi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza
hati iliyopewa kampuni hiyona ambayo inaiwezesha Kampuni kumilikiwa na Umma wa Watanzania.
Akiongea na Wanahabari Dkt. Ulomi amesema kwamba Kuanzia Sasa Kampuni ya Maxcom Africa itatambulika kwa Jina la Maxcom Africa Public Limited Company (Maxcom Africa PLC). Kampuni hii maarufu kwa jina la Maxmalipo ni Moja ya Kampuni zilizoanzishwa na kuendeshwa na wazawa watanzania ambayo imeifikia
hatua za Mwisho katika mchakato wa kuanza kuuza hisa zake kwenye soko la
hisa. Dkt. Olumi amewaambia wanahabari kwamba wanasubiri kibali cha
wasimamizi wa Soko la Hisa ili waweze Kuorodhesha Kampuni yao katika Soko hilo

Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt Donalth Ulomi (kushoto) akikata utepe wa kuzindua rasmi Jina Lipya la Kampuni ya Maxcom Africa PLC anayeshuhudia ni Mkurungezi wa Uendeshaji wa Maxcom Africa Ahmed Lusasi mapema leo katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika makao makuu ya Maxcom Africa PLC Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt. Donalth Ulomi (kushoto) akionesha nembo ya jina jipya Maxcom Africa PLC na kushoto kwake ni Mkurungezi wa Uendeshaji wa Maxcom Africa Bw.Ahmed Lusasi mapema leo katika hafla ya uzinduzi wa Jina jipya la Kampuni hiyo iliyofanyika makao makuu ya Maxcom Africa PLC Kijitonyama Jijini Dar es Salaam
Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt. Donalth Ulomi akifanya mahojiano na mwandishi wa habari mara baada ya uzinduzi rasmi wa Jina Jipya la Kampuni ya Maxcom Africa PLC.
Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dkt. Donalth Ulomi akifanya mahojiano na mwandishi wa habari mara baada ya uzinduzi rasmi wa Jina Jipya la Kampuni ya Maxcom Africa PLC.
COMMENTS