Inspekta Jenerali wa polisi (IGP) Simon Sirro akiwaonyesha askari wa mkoa wa kilimanjaro kofia yenye krauni ya jeshi la polisi alipokua ...
Inspekta Jenerali wa polisi (IGP) Simon
Sirro akiwaonyesha askari wa mkoa wa kilimanjaro kofia yenye krauni ya jeshi la
polisi alipokua kwenye ziara ya kikazi leo Juni 25, 2017 mkoani humo. IGP Sirro
amewataka maofisa na askari hao kuheshimu krauni kwa kuwa ni mamlaka waliyopewa
na serikali katika kuwahudumia wananchi kulinda maisha na mali zao
COMMENTS