F HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2017/2018 ILIYOWASILISHWA BUNGENI MJINI DODOMA | Okandablogs

Thursday, June 8, 2017

HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2017/2018 ILIYOWASILISHWA BUNGENI MJINI DODOMAMhe.Mpango
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe. Dkt.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma.
Dk Mpango
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2017/18.
IMG_7397
Wabunge wakiingia Ukumbi wa Bunge kusikiliza hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma.
 
IMG_0651
Wabunge wakisikiliza hotuba ya Bajeti ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma Juni 8 2017. (Picha zote na MAELEZO,DODOMA)


0 comments:

Post a Comment