DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO

 Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi, Hajat Mwanasha Tumbo.   ... Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi, Hajat Mwanasha Tumbo.
 
  Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo.
 
  Wageni wilayani Muheza
Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 
 MKUU wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi katikati anayefuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Luiza Mlelwa wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu huyo wa wilaya
nyumbani kwake.

 Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu huyo wa wilaya.
 Baadhi ya waalikwa
wakipata futari hiyo
 Baadhi ya wageni waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.
 Wageni waalikwa wakipata futari nyumbani kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza.
 Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Muheza, Makame Seif katikati akiwahudumia wageni waalikuwa kwenye futari hiyo anayepokea chai ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mathew Mganga.
 Waalikwa wakipata futari hiyo wa pili kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya
Muheza, Mathew Mganga.

Wageni waalikuwa kwenye futari hiyo katikati ni Amina Omari Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Mkoa wa Tanga na kulia ni Mariam Shedafa kutoka Azam TV Tanga.
Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa katikati akiwa na wageni wengine wakishiriki kwenye futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.
 
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo
akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia mwitikio wa futari hiyo.

Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akiagana na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika futari hiyo.


(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO
DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO
https://2.bp.blogspot.com/-OtudtrUB9jI/WTpUKln4CtI/AAAAAAAAQ_k/HJkK_NiqhUY28xmtWSIqsCbEE50Y5GIwwCLcB/s640/IMG_4496.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-OtudtrUB9jI/WTpUKln4CtI/AAAAAAAAQ_k/HJkK_NiqhUY28xmtWSIqsCbEE50Y5GIwwCLcB/s72-c/IMG_4496.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/dc-muheza-afuturisha-wakazi-wa-wilaya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/dc-muheza-afuturisha-wakazi-wa-wilaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy