CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUWAPATIA ZAWADI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. BENKI ya CRDB imeadhimisha siku ya  Mtoto wa Afrika kwa kuwapatia zawadi watoto mbalimbali amba...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

BENKI ya CRDB imeadhimisha siku ya  Mtoto wa Afrika kwa kuwapatia zawadi watoto mbalimbali ambao wazazi wao waliwafungulia akaunti za Junior Jumbo huku wakiwa wamewekewa fedha mara kwa mara.

Akitoa zawadi hizo, Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe  Nomina Msoka amesema kuwa watoto hao waliopatiwa zawadi ni kutokana na wazazi wao kuwawekea fedha mara kwa mara na hata akiba za akaunti zao zina kiasi kikubwa cha fedha.

Nomina amesema kuwa, wazazi wanatakiwa kuwafungulia na kuwawekea watoto wao fedha mara kwa mara iili kuwandaa na maisha ya baadae ikiwemo katika kulipia ada za masomo yao na pia upo taratibu wa wazazi kuwaekea hela kupitia akaunti zao..

Amesema mbali na hilo, CRDB wameweza kuandaa michezo mbalimbali ya watoto kwa ajili ya kujumuika pamoja na wenzao na kufahamiana zaidi.
Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe  Nomina Msoka akiwa amembeba mtoto Kinora Brown na kumkabidhi zawadi yake ya begi la Junoir Jumbo Akaunti  kwa mama yake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka. 
 Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe Nomina Msoka akimkabidhi zawadi ya begi la Junoir Jumbo Akaunti  mtoto Orley Mwanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka.
 Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe Nomina Msoka akimkabidhi zawadi ya begi la Junoir Jumbo Akaunti  mtoto Tonia Naivasha  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka.
  Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe Nomina Msoka akimkabidhi zawadi ya begi la Junoir Jumbo Akaunti  mtoto Rashidi Jumbe wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka.
  Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe Nomina Msoka  akiwa katika picha ya pamoja na watoto aliowakabidhi zawadi za mebegi ya Junior Jumbo Akaunti  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka.
  Mkurugenzi wa Tawi la Benki ya CRDB Azikiwe Nomina Msoka   akizungumza na watoto hao baada ya kumalizika kwa zoezi la ugawaji zawadi  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yanayoadhimishwa Juni 16 kila mwaka.
Watoto waliojitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika wakiwa wanacheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa na tawi la benki ya CRDB Azikiwe. (Picha zote na Zainab Nyamka)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUWAPATIA ZAWADI
CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUWAPATIA ZAWADI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLgCU0jAdDje4J0EaBPkET3rNRahSIyZdJ_cIW3qNJOpG7olNtm45I8o4IVCQ73J6Y4Dh5wehgt260J_L5atEVcsgkwQC0IaXOcPa5c39funlTxc2x5ms1sFqGCJMD8ExrtL3LwcGlmc0S/s640/DSCF0573.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLgCU0jAdDje4J0EaBPkET3rNRahSIyZdJ_cIW3qNJOpG7olNtm45I8o4IVCQ73J6Y4Dh5wehgt260J_L5atEVcsgkwQC0IaXOcPa5c39funlTxc2x5ms1sFqGCJMD8ExrtL3LwcGlmc0S/s72-c/DSCF0573.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/crdb-yaadhimisha-siku-ya-mtoto-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/crdb-yaadhimisha-siku-ya-mtoto-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy