CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO (MoU)

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dk Richard Masika (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)...


Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dk Richard Masika (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili. MoU imejikita kwenye ushirikiano wa Utafiti,  Taaluma, kubadilishana wataalamu, ziara za kitaaluma kwa wanafunzi.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dk Richard Masika (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba (kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha. 

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) wakibadilishana mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha. 

Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) akizungumza jambo baada ya taasisi hiyo na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kuweka saini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha. Kushoto ni Dk Richard Massika.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO (MoU)
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO (MoU)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaDqdbtAC9_GAy4ZjxCo_E6kyF6D2A9iizHjD7RzDl9KkZ9EaYSvifU1FHjZT5R4ntOVSI3M5XB8j-fQXbigA3usBXWtJotm94VfFVumb5GUw1de601kQez52s9lMPm6lUHhndKENTHjTu/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaDqdbtAC9_GAy4ZjxCo_E6kyF6D2A9iizHjD7RzDl9KkZ9EaYSvifU1FHjZT5R4ntOVSI3M5XB8j-fQXbigA3usBXWtJotm94VfFVumb5GUw1de601kQez52s9lMPm6lUHhndKENTHjTu/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/chuo-cha-ufundi-arusha-atc-na-taasisi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/chuo-cha-ufundi-arusha-atc-na-taasisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy