BULEMBO ATINGISHA CHATO, MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA CHADEMA AHAMIA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa...


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, Juni 9, 2017.
 
 
Wajumbe wakishangilia Ukumbini wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Bulembo alipowasulu ukumbini kwenye kikao hicho.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Bulembo akiingia ukumbini kuemdesha kikao hicho.
 
Wasanii wa Kikundi cha CCM, wakitumbuiza kuchangamsha kabla ya kuanza kikao hicho.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Kasheku Msukuma na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chato Ibrahim Bagula.
 
Ofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania Omari Kalolo akiimba nyimbo za hamasa wakati ajikitambulisha kwenye mkutano huo.
 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chato Ibrahimu Bagula akifungua kikao hicho.
 
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Geita, Mbunge wa Bukombe Doto Biteko akisalimia baada yakutambuishwa kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Kasheku Msukuma, akimkaribisha Alhaj Bulembo kuzungumza kwenye kikao hicho
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shabani akimkabidhi taarifa ya Wilaya hiyo.
Wajumbe ukumbini
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbewa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, Juni 9, 2017.
Kada wa CCM Paschal Kitandula, akiahidi kumpatia Kiwanja, Chato, Alhaj Bulembo ikiwa ni sehemu ya shukrani kwa kuwa Meneja wa Kampeni ya Rais Dk. Magufuli wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimkabidhi ya Jumuia ya Wazazi mmoja wa wanachama wapya 130 waliojiunga na Jumuia hiyo wakati wa kikao hicho.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Joseph Chacha ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Chacha alikuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema katika Wilaya za Geita na Chato.
 
Joseph Chacha akizungumza baada ya kupokewa rasmi ndani ya CCM wakati wa kikao hicho.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alahj Abdallah Bulembo akiagana na badhi ya Wana-CCM baada ya kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Chato, Wajumbe wa Mabaraza ya Juuia za CCM, Madiwani, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, katika Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo mkoani Geita, Juni 9, 2017. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BULEMBO ATINGISHA CHATO, MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA CHADEMA AHAMIA CCM
BULEMBO ATINGISHA CHATO, MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA CHADEMA AHAMIA CCM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiwnMf0RfyRU4Bzh_GWpUW9nCwwK2P8T5AMIXIgLa9j5vm02leppdrkL6vhV6PpI8XEISp_mmgDB4aadToa9JbCcTB8bq-W052MAEk6BZp43NFnrlbSyyUZIYxHc9QEypdQGPQL_vVb_26/s640/1.+BN642855.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiwnMf0RfyRU4Bzh_GWpUW9nCwwK2P8T5AMIXIgLa9j5vm02leppdrkL6vhV6PpI8XEISp_mmgDB4aadToa9JbCcTB8bq-W052MAEk6BZp43NFnrlbSyyUZIYxHc9QEypdQGPQL_vVb_26/s72-c/1.+BN642855.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/bulembo-atingisha-chato-mkurugenzi-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/bulembo-atingisha-chato-mkurugenzi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy