BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko akizungumza na baadhi ya wateja wakubwa wa benk...


Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko akizungumza na baadhi ya wateja wakubwa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati benki hiyo ilipoandaa futari mahsusi. Kati ya mengi aliyoeleza, Shoko aliwahakikishia wateja wa benki hiyo jitihada madhubuti na endelevu zinazoendelea kufanya na benki ya CBA kwa kuboresha huduma na bidhaa zake wakati wote. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala kama mgeni rasmi.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Jijini Dar es Salaam.
Wateja wakubwa wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), wakipakua futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya CBA Tanzania, Solomono Kawiche (wa kwanza kulia) akimuongoza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Mke wake kupakua futari.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko (wa kwanza kushoto) akipakua futari pamoja na wateja.
Wateja wakipata futari kwa pamoja.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko (kulia) akibadilishana mawazo na  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla pamoja na mteja wa CBA Benki.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM
BENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0N0EK9QjHz2wz_RhpZH5_dsqxdPZRUKSNhS4oVldqCwZGXLDqGkLaYcK1-_J5ljweC0Sw6R9ChIPDako98KvJrAgTteEliREYXhndvA7OOlicgJa0u6xGlurFxKERCzdG2orJWHm6oE8/s640/IMG_1946.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0N0EK9QjHz2wz_RhpZH5_dsqxdPZRUKSNhS4oVldqCwZGXLDqGkLaYcK1-_J5ljweC0Sw6R9ChIPDako98KvJrAgTteEliREYXhndvA7OOlicgJa0u6xGlurFxKERCzdG2orJWHm6oE8/s72-c/IMG_1946.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/benki-ya-cba-tanzania-yawaandalia-iftar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/benki-ya-cba-tanzania-yawaandalia-iftar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy