F BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA | Okandablogs

Thursday, June 1, 2017

BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA


 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Dk. Lu Youqing kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Banyibanyi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.​
 
  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi.
 
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Dkt. Lu Youqing wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akitembelea shule ya msingi ya Ibwaga, shule aliyosoma wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. Mwenye shati juepe ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Dk Lu Youqing.

0 comments:

Post a Comment