Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu afiwa na mama yake mzazi Sitti Kilungo...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam,
Abbas Mtemvu afiwa na mama yake mzazi Sitti Kilungo Mtemvu kilichotokea siku ya jumatano msiba upo masaki Mtaa wa Haileselasi karibu na Hospitali ya Osetabey ambapo chanzo kutoka katika familia kilidokeza mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Jun 2, 2017 saa kumi alasiri katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam (PICHA KWA HISANI YA FAMILIA, KHAMISI MUSSA)
COMMENTS