YANGA YATUA ARUSHA KWA KISHINDO HUKU IKIWA NA KOMBE LAKE

Na Woinde Shizza,Arusha Kikosi cha AFC Arusha kimejinasibu kuwa kitawafunga mabigwa wa ligi kuu bara msimu uliomalizika  Timu ya ...




Na Woinde Shizza,Arusha

Kikosi cha AFC Arusha kimejinasibu kuwa kitawafunga mabigwa wa ligi kuu bara msimu uliomalizika  Timu ya  Yanga Afrika,katika mchezo wao wa kirafiki unaotajarajiwa kupichezwa Jumapili hii
May 28 katika kiwanja cha kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini hapa

Akiongea na gazeti hili kocha wa kikosi hichi kipya cha timu
ya AFC Fikiri Elias  alisema kuwa vijana wake wapo tayari kuwapatia burudani wapenzi wa ke wa soka mkoani hapa huku akiwapa sifa viongozi wa serikali kwa kuwa begakwa bega katika kuhakikisha soka
la mkoa wa Arusha linarudi katika ramani yake




Alisema kuwa japo hii ni mechi yao ya kirafiki baina yao na
timu ya Yanga lakini watatumia mchezo huu pia kuangalia kikosi bora ambacho kitakaa kambini kwa ajili ya kuandaa timu ya kikosi kitakacho unda AFC mpya itayoshiriki ligi daraja la kwanza .

  'Pamoja ya kuwa timu ya yanga inawachezaji wazoefu wengi
na pia ndio wametoka tu kutwaa ubigwa mara ya tatu lakini napenda kusema hivi japo mechi hii ni ya kirafiki lakini nimeaada kikosi kizuri nanauhakika lazima tutaifunga timu hii ili tuweke historia japo ni mechi ya kirafiki' alisema Fikiri



Kwa upande wake kocha msaidizi  timu ya  Yanga ambao wameshikilia ubigwa  kwa mara ya tatu mfulukizo ligi kuu bara  Juma Mwambusi alisema kuwa mchezo huu ni muhimu  kwao kwani ni moja  ya program zao katika kujiandaa kuelekea katika michuzano inayowakabili  ikiwemo
mashindano ya Sport Pesa


Kikosi hichi cha yanga kipo katika ziara ya kutembeza kombe
lake kwa mashabiki wa mikoani ambapo mkoa wa Arusha umekuwa wa kwanza kuona kombe hilo na wakitoka mkoani hapa wanampango wa kulipeleka mkoani Dodoma, ambapo pia wanajangwan hawa wamekuwa ni timu ya tatu kuoka ligi kuu bara msimu ulioisha kutoa katika aridhi ya jiji la Arusha iliyokuwa na ukame wa timu za ligi kuu mara baada ya timu za Ruvu shooting na Simba  zilizowaikutua hapa katika mtanange wake
ulioisha


Akizungumzia mchezo huo wa kirafiki  mmoja wawaandaaji wa mechi hiyo ambayo katibu wa timu ya AFC  Charles Mwaimu alisema kuwa maandalizi yote yamekamilika timu zote zipo tayari wanaisubiri tu siku ya
mechi ifike.


Aliwasihi wananchi wa mkoa wa Arusha na pembezoni kujitokeza
kwa wingi kuishabikia timuyao ya AFC ikiwa ni ujio mpya wa timu hii mara baada ya kupotea kwa muda na aliwasihi wananchi wa mkoa wa Arusha kujitokeza kuwapa morali wachezaji wao.

Aidha alisema kuwa pia mbali na mechi hii ya yanga kucheza
na AFC pia wanampango wa timu hii kwenda mkoani manyara kucheza mechi baida yao na timui ya Merirani.





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YANGA YATUA ARUSHA KWA KISHINDO HUKU IKIWA NA KOMBE LAKE
YANGA YATUA ARUSHA KWA KISHINDO HUKU IKIWA NA KOMBE LAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7x4hXq6eJyAhLhojbRduBCzZH4tSbLZsqJtDFv-1H55KlnHYoke4KAlNBhw7nk36Pws5cCWIF1Ptz7zSaYjSdsRghozO7j5OPPvill4dkOIxyv0lnythFq4jWe2kZ8zVUeX-kf8f4Stut/s640/uBINGWA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7x4hXq6eJyAhLhojbRduBCzZH4tSbLZsqJtDFv-1H55KlnHYoke4KAlNBhw7nk36Pws5cCWIF1Ptz7zSaYjSdsRghozO7j5OPPvill4dkOIxyv0lnythFq4jWe2kZ8zVUeX-kf8f4Stut/s72-c/uBINGWA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/yanga-yatua-arusha-kwa-kishindo-huku.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/yanga-yatua-arusha-kwa-kishindo-huku.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy