Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 Yanga wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mkoani Dodoma ikiwa ni katika ...
Mabingwa
wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 Yanga wametembelea Bunge la Jamhuri
ya Muungano Tanzania Mkoani Dodoma ikiwa ni katika ziara yao ya
kuelekea Mkoani Arusha kwa ajili ya kulitembeza kombe.
Yanga
waliofanikiwa kulichukua kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo ikiwa ni
mara ya 27 toka kuanz akwa Ligi Kuu Nchini, mabinhwa hao waliambatana
namsafara wa viongozi ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Salum
Mkemi pampja na benchi la Ufundi.
Baadhi ya wabunge wakiwa wamelibeba kombe wakionekana kufurahi leo Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wabunge, wachezaji na viongozi wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja leo Mkoani Dodoma.
COMMENTS