Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua semina ...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa
William Lukuvi (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya
wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana katika hoteli
ya Morena Mjini Dodoma.
Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania wakifwatilia semina
iliyoendelea leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa
William Lukuvi (katikati waliokaa) akipiga picha ya pamoja na wanachama wa
chama cha wapima Ardhi Tanzania, baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana
katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
COMMENTS