F WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUUNGA MATREKTA YA URSUS | Okandablogs

Wednesday, May 24, 2017

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUUNGA MATREKTA YA URSUS
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua matrekta aina ya URSUS yanayounganishwa katika karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei  23, 2017. Kutoka (kulia) ni Waziri wa Viwanda, Biahara na Uwekezaji, Charles Mwijage, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo, Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Koka na Mkurugenzi Mkuu wa NDC Mlingi Elisha Mkucha.


Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo (kushoto) akizungumza wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo Kerege Bagamoyo Mei 23, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi, wabunge na wananchi waliohudhuria wakati alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo Kerenge, Bagamoyo Mei 23, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

 

0 comments:

Post a Comment