WATU WAHAMASIKA KULIPA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea na zoezi la uhamasishaji wa Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi n...

Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea na zoezi la uhamasishaji wa Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi nchini.
Wamiliki wa Ardhi wameendelea kujitokeza katika kufanya malipo yao nchini kote. Hata hivyo, Wizara inaendelea kuwakumbusha wale wote wanao miliki  viwanja na mashamba yaliyopimwa, ambao bado hawajalipa Kodi ya Pango la Ardhi, wahusike kufanya malipo hayo kabla ya mwisho wa mwezi wa sita (6), kwani Ifikapo tarehe 30/06 hatua zifuatazo zitachukuliwa dhidi yao; Watashitakiwa Mahakamani, Mali zao zitakamatwa na majengo yao kupigwa mnada kwa kupitia madalali na Miliki zao zitafutwa.
Aidha, hatua zote zitakazochukuliwa dhidi yao zitakuwa kwa mujibu wa  Sheria. (Sheria ya  Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999, katika vifungu Na. 49 – 50).
Mwananchi Lipa Kodi ya Pango la Ardhi kwa Maendeleo ya Taifa Letu.
(Na kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)
Wamiliki wa Viwanja na Mashamba wakiendelea kujitokeza kufanya malipo ya Kodi ya Pango la Ardhi katika kituo cha malipo cha Ardhi Street – Kivukoni.


Watumishi wa Kitengo cha Kodi wakiwa Mkoani Arusha katika zoezi la kusambaza Hati za madai.


Mkuu wa Kitengo cha Kodi; Dennis Masami akielimisha Umma kuhusu Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kupitia Televisheni /Azam TV katika kipindi cha Morning Trumpet.



Mkuu wa Kitengo cha Kodi; Dennis Masami akielimisha Umma kuhusu Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kupitia Radio/Radio Times FM katika kipindi cha Dira Yetu.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WATU WAHAMASIKA KULIPA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI
WATU WAHAMASIKA KULIPA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6OEaHQOKQwbc9rGlrq-TNwB3n_LOi8Dptgm_8zNrCVTJCLyZy6v7YYJwiunOOo_UTnnxy16MFWwSeyLz4pP7Qh6dlYyfatq9VQGSQXhOTt51fzS-G6bT5KhbIBvg7zLLhQCVFekLb-L0/s640/MALIPO+KODI+1A.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6OEaHQOKQwbc9rGlrq-TNwB3n_LOi8Dptgm_8zNrCVTJCLyZy6v7YYJwiunOOo_UTnnxy16MFWwSeyLz4pP7Qh6dlYyfatq9VQGSQXhOTt51fzS-G6bT5KhbIBvg7zLLhQCVFekLb-L0/s72-c/MALIPO+KODI+1A.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/watu-wahamasika-kulipa-malipo-ya-kodi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/watu-wahamasika-kulipa-malipo-ya-kodi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy