WANANCHI WA KITETO WAENDELEA KUJIUNGA NA MFUKO WA PPF

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera (wa pili kulia) akikabidhiwa vifaa tiba na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele (...




Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera (wa pili kulia) akikabidhiwa vifaa tiba na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele (wa pili kushoto) kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Kiteto katika hafla iliyofanyika mwishoni wa wiki iliyopita. PICHA NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG- KITETO.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera akitoa maelezo mafupi kuhusu faida za kujiunga na Mfuko wa PPF katika hafla ya kukabidhiwa vifaa tiba toka Mfuko wa PPF kwa ajili ya hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Manyara.

Mkuu wa wilaya Kiteto, Manyara, Bw. Tumaini Magesa akitoa shukrani zake za pekee kwa Mfuko wa PPF jinsi ilivyoweza kuwakomboa wananchi wa wilaya yake kwa kuwapatia vifaa tiba.

Meneja wa PPF Kanda ya Kaskazini, Bw. Jacob Sulle akiendelea kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya ya Kiteto, Manyara ili waendelee kujiunga na Mfuko wa PPF.

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele akitoa maelezo mafupi wakati wa ugawaji wa vifaa tiba vilivyotolewa na PPF katika Hospitali ya Wilaya ya Kiteto.
 
Makamu Mwenyekiti wa Wilaya ya Kiteto, Bw. Paul Tunyoni akitoa shukrani zake za pekee kwa Mfuko wa PPF kwa kuweza kuwafikia wananchi wengi na kuwapa elimu juu ya kujiwekea mafao kwa mfumo wa 'WOTE SCHEME'.
Baadhi ya Wananchi wa Wilaya Kiteto walioweza kuhudhuria halfa ya ugawaji wa vifaa Tiba.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera akimkabidhi kitambulisho cha uanachama wa Mfuko wa PPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari 'WOTE SCHEME' kwa Mfugaji Ngaisi Laizer.

Mfugaji Ngaisi Laizer akionesha kitambulisho chake cha uanachama wa mfuko wa PPF.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa PPF na viongozi wa wilaya ya Kiteto.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PPF, Bi. Janet Ezekiel akiwaandikisha wanachama wapya wa Wilaya ya Kiteto, Manyara.

Meneja wa PPF Kanda ya Kaskazini, Bw. Jacob Sulle (wa kwanza kulia) akiwaandikisha wanachama wapya wa Wilaya ya Kiteto, Manyara.
 
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Kiteto wakijiunga na Mfuko wa PPF baada ya kupata elimu.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele akitoa elimu kwa wananchi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI WA KITETO WAENDELEA KUJIUNGA NA MFUKO WA PPF
WANANCHI WA KITETO WAENDELEA KUJIUNGA NA MFUKO WA PPF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPikqkP9BpebbY5__C6ltWSpwcGXk1DMZcGVzqpX1DEe7MzyYTUKCdnYWelUgdmEDgh44ozpCKOG9kQGKnoOFPHjedoAoUrafYw7Wjl3CmfZPMvXcSoOdBqb4vJeADJ3khAPgYcDzZCiA/s640/IMG_1389.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPikqkP9BpebbY5__C6ltWSpwcGXk1DMZcGVzqpX1DEe7MzyYTUKCdnYWelUgdmEDgh44ozpCKOG9kQGKnoOFPHjedoAoUrafYw7Wjl3CmfZPMvXcSoOdBqb4vJeADJ3khAPgYcDzZCiA/s72-c/IMG_1389.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wananchi-wa-kiteto-waendelea-kujiunga.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wananchi-wa-kiteto-waendelea-kujiunga.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy