F UZINDUZI WA MNARA WA ASKARI | RobertOkanda

Tuesday, May 30, 2017

UZINDUZI WA MNARA WA ASKARIMwenge wa Uhuru ukiwasili katika bustani ya Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora kwa ajili ya ya uzinduzi wa bustani hiyo uliofanywa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour (katikati) akipata maelekezo toka kwa msimamizi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuizindua bustani hiyo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wananchi wakishuhudia tendo la uzinduzi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema hii leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.

Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.


 


0 comments:

Post a Comment