RC GAMBO AZINDUA MRADI WA MAJI WA KUNYWESHEA MIFUGO NA BINADAMU WILAYANI NGORONGORO

Mkuu wa mkoa Mhe. Mrisho Gambo amezindua mradi mkubwa wa maji kwa ajili ya kunyweshea mifugo (cattle trough) na matumizi ya binad...


Mkuu wa mkoa Mhe. Mrisho Gambo amezindua mradi mkubwa wa maji kwa ajili ya kunyweshea mifugo (cattle trough) na matumizi ya binadamu katika kata ya Ndepes wilayani Ngorongoro Mei 20 2017.

Mradi huo mkubwa wa maji umetumia takribani milioni 200 ikiwa ni gharama nzima za mradi huo, utekelezaji wa mradi huo umesimamiwa na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro ikiwa ni utekelezaji wa agizo la waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alilolitoa mapema mwezi wa Desemba 2016, moja ya maagizo yake ilikua ni wananchi kujengewa mfumo wa maji kwa matumizi yao na mifugo yao ili kuzuia  uingizwaji wa mifugo katika crater ya Ngorongoro.

Aidha Mhe. Gambo ameipongeza mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro kwa kuutekeleza mradi huo kwa wakati na kuendelea kutoa msisitizo kwa wananchi kuwa agizo la kutoingiza mifugo ndani ya crater linaendelea na amezitaka mamlaka kuanza mchakato wa kuligeuza agizo hilo kuwa sheria ili liweze kutekelezeka kwa vitendo zaidi.

Wananchi wa eneo la Ndepes wameishukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha wananchi hawafuati maji umbali zaidi ya mita mia nne kama ilivyo ahidiwa katika ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
 
  

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RC GAMBO AZINDUA MRADI WA MAJI WA KUNYWESHEA MIFUGO NA BINADAMU WILAYANI NGORONGORO
RC GAMBO AZINDUA MRADI WA MAJI WA KUNYWESHEA MIFUGO NA BINADAMU WILAYANI NGORONGORO
https://4.bp.blogspot.com/-F9NKAQw4X2w/WSCjouoShFI/AAAAAAAJmHg/dke_moHKJdAAbgmThEp3K4t2ZU2oPWALwCLcB/s640/unnamed.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-F9NKAQw4X2w/WSCjouoShFI/AAAAAAAJmHg/dke_moHKJdAAbgmThEp3K4t2ZU2oPWALwCLcB/s72-c/unnamed.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/rc-gambo-azindua-mradi-wa-maji-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/rc-gambo-azindua-mradi-wa-maji-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy