F RAIS WA TANZANIA DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU DAR ES SALAAM LEO | Okandablogs

Saturday, May 20, 2017

RAIS WA TANZANIA DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017.
 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017 Rais akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya, William Rutto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea  na kumkaribisha Makamu wa Rais wa Kenya William Samoei Arap Ruto Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na kumkaribisha Mhe. Gaston Sindimwo Makamu wa Rais wa Burundi Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017

0 comments:

Post a Comment