RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI WAZIRI PROFESA MUHONGO KWA KASHFA YA MCHANGA WA MADINI; MAAFISA KADHAA KUCHUNGUZWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mk...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakisikiliza wakati mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Mchanga wa Madini Profesa Abdulkarim Hamis Mruma alipokuwa akiiwasilisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya uchunguzi wa mchanga wa madini mbalimbali uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 24, 2017. Kufuatia matokeo ya uchunguzi huo, Rais Magufuli amemfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na maafisa kadhaa. (PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiingalia Taarifa hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakwanza kulia wakishuhudia tukio hilo.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea Ripoti hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakisikiliza wakati mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Mchanga wa Madini   Profesa Abdulkarim Hamis Mruma alipokuwa akiiwasilisha.
Baadhi ya Mawaziri pamoja na Wabunge wakifatilia kwa makini uwasilishwaji wa Ripoti hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Ripoti hiyo ya Kamati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kupokea Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Wasanii mbalimbali wa Nyimbo za Bongo Flavour na Dansi wakiimba wimbo wa Amani Tanzania kabla ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Wasanii mbalimbali wa Nyimbo za Bongo Flavour na Dansi walipokuwa wakiimba wimbo wa Amani Tanzania kabla ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Viongozi mbalimbali wa Dini na Siasa nao wakifatilia Ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma akisoma dondoo za Ripoti aliyoikabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya uchunguzi wa Mchanga wenye madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa mchanga wenye Madini Profesa Abdulkarim Hamis Mruma pamoja na Wajumbe wa Kamati Hiyo mara baadaya kupokea Taarifa ya Uchunguzi huo Ikulu jijini Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI WAZIRI PROFESA MUHONGO KWA KASHFA YA MCHANGA WA MADINI; MAAFISA KADHAA KUCHUNGUZWA
RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI WAZIRI PROFESA MUHONGO KWA KASHFA YA MCHANGA WA MADINI; MAAFISA KADHAA KUCHUNGUZWA
http://blog.ikulu.go.tz/wp-content/uploads/2017/05/9-3.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/rais-magufuli-amfuta-kazi-waziri.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/rais-magufuli-amfuta-kazi-waziri.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy