PPF WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

NA K-VSI BLOG/Khalfan Said WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wameungana na wenzao jijini Dar es salaam kuadhimisha siku...









NA K-VSI BLOG/Khalfan Said
WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wameungana na wenzao jijini Dar es salaam kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi.

Kitaifa sherehe hizo zinaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli mjini Moshi ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Uchumi wa Viwanda
uzingatie Haki, Maslahi na Heshima ya wafanyakazi.”

Aidha jijini Dar es Salaam, Wafanyakazi wa PPF na wengine kutoka sekta ya Umma na Binafsi, walifanya matembezi kutoka eneo la Mnazi Mmoja hadi uwanja wa Uhuru
huku wakiongiozwa na brass band ya Jeshi la Magereza.

Kwa upande wao wafanyakazi wa PPF  walianza kwa
kukusanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo barabara ya Samora/Morogoro ambapo walipewa maelekezo ya umuhimu wa ushiriki wao katika maetembezi
hayo na kujiunga na wenzao eneo la kuanzia matembezi pale Mnazi moja.
Mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi jijini Dar es Salaam, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeka, Bw. Felix Lyaviva, ambaye alipokea maandamano ya wafanyakazi na magari kadhaa kutoka taasisi za umma na binafsi yakionyesha
huduma zitolewazo na taasisi hizo.
Huduma zitolewazo na PPF ni pamoja na kulipa Mafao ya Uzeeni, Mafao ya Wategemezi,Mafao ya Elimu, Mafao ya Kiinya Mgongo, Mafao ya Kifo, Mafao ya Ugonjwa na Mafao ya Uzazi. Lakini pia kazi nyingine za Mfuko huo ni kusajili wanachama kupitia mfumo wa uchangiaji wa hiari ujulikanao kama “Wote Scheme”


Baadhi ya wafanyakazi wa PPF, wakiwa kwenye matembezi ya kuadhimisha Mei Mosi jijini Dar es Salaam Leo.


Kiongozi wa kundi la wafanyakazi WA PPF, wwlioshiriki matembezi ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani, Mohammed Siaga, (kushoto), akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza matembezi hayo.















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PPF WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
PPF WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzA0rDT6dFHfaA2n55KCXfcaIVVRuwdVCMAMwCYXEJK9Tq23LoDeVSbe1raLWW1pm-pztTa12Jy4x4iAXlev22yuL94M2k0cUVni-kHnUWLpxrqF4mFH90pyzdY9FqOiPy1h8uyf489Zk/s640/MEI+MOSI+DAR2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzA0rDT6dFHfaA2n55KCXfcaIVVRuwdVCMAMwCYXEJK9Tq23LoDeVSbe1raLWW1pm-pztTa12Jy4x4iAXlev22yuL94M2k0cUVni-kHnUWLpxrqF4mFH90pyzdY9FqOiPy1h8uyf489Zk/s72-c/MEI+MOSI+DAR2.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/ppf-waungana-na-wenzao-kuadhimisha-siku.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/ppf-waungana-na-wenzao-kuadhimisha-siku.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy