F NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI | Okandablogs

Wednesday, May 31, 2017

NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI


 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’I Issa na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Dk. Jim Yonazi wakisaini makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Kazi hiyo itaanza na kongamano  la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Kulia ni Meneja Mauzo na Masoko, Januarius Maganga na Mtumishi wa Baraza hilo. (Na Mpigapicha Wetu).
 
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uuwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’I Issa na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Dk. Jim Yonazi wakitia saini nyaraka za makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi  juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Kazi hiyo itaanza na kongamano  la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’I Issa Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Dk. Jim Yonazi wakibadilishana mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi baada kutiliana saini. Kazi hiyo itaanza na kongamano  la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

0 comments:

Post a Comment