MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MRISHO GAMBO AMPONGEZA MFUGAJI ALIYEJENGA HOTELI

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Solomon Masangwa akizumza katika sherehe ya uzind...


Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini
Kati, Solomon Masangwa akizumza katika sherehe ya uzinduzi wa hoteli ya
Eseriani Kata ya Levolosi jijini Arusha na kumpongeza mmiliki kwa kufuga
kisasa na kuwekeza kwa kutoa ajira na kuongeza huduma bora kwa wageni
wanaofika Arusha.


Mkuu wa wilaya mstaafu, Peter Toima akitoa salamu zake kwa wananchi walihudhuria.


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza katika sherehe hiyo,kulia ni
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Michael Lekule
Laizer.


Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Solomon Masangwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa hoteli hiyo wanaoshuhudia kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha,Michael Lekule Laizer na Mkuu wa mkoa, Mrisho Gambo.


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua hoteli ya Eserian ,kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Michael Lekule Laizer.


Mmiliki wa hoteli ya Eserian, Issaya Yassi (kulia)akimweleza Mkuu wa mkoa, Mrisho
Gamb (wa pili kushoto),Askofu Masangwa (kushoto) na
Mwenyekiti CCM mkoa wa
Arusha,Michael Lekule Laizer namna alivyotumia mifugo kuwekeza kwenye nyumba ya wageni.


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akiangalia mandhari ya hoteli ya Eserian
akiwa na  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Arusha, Michael Lekule Laizer.



Mfanyabiashara maarufu  wa jijini Arusha, Philemon Mollel maarufu kwa jina la
Monaban (kushoto)akikabidhiwa tuzo maalumu na Mkuu wa mkoa wa
Arusha, Mrisho Gambo iliyotolewa na shirika la kidini World Mission
International kwa kutambua mchango kwa jamii.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MRISHO GAMBO AMPONGEZA MFUGAJI ALIYEJENGA HOTELI
MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MRISHO GAMBO AMPONGEZA MFUGAJI ALIYEJENGA HOTELI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDbJFSOubhNxBzRCUUYjGiQ5IPuKB2apABhNS9m-NSZ8dBDJC-IhVFfWG0Go2p4STy97jaUPVU2FwSiypWDDvFfYSriZKbSGWNdFBSqv_JgFqL-Nx-Oi84xLQKaHnAq5QVSDHNkcu4iV9_/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDbJFSOubhNxBzRCUUYjGiQ5IPuKB2apABhNS9m-NSZ8dBDJC-IhVFfWG0Go2p4STy97jaUPVU2FwSiypWDDvFfYSriZKbSGWNdFBSqv_JgFqL-Nx-Oi84xLQKaHnAq5QVSDHNkcu4iV9_/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-mkoa-wa-arusha-mrisho-gambo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-mkoa-wa-arusha-mrisho-gambo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy