F MHE. MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN MKAPA | Okandablogs

Sunday, May 21, 2017

MHE. MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN MKAPA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Mei 20, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu  nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Mei 20, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

0 comments:

Post a Comment