MBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna mbogamboga za wakulima kwenye...



 Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna mbogamboga za wakulima kwenye Jimbo lake zilivyoharibika hivi karibuni kutokana na miundombinu ya barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na
vifusi na mawe kabla ya kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga
(Tana Road ) ambapo aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza
uzalishaji
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia katika  akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye
Jimbo lake  hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika kutokana
na miundombinu ya barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji.

  Mbunge wa Jimbo la
Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia katika  akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye
Jimbo lake  hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika kutokana
na miundombinu ya
barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya
kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo
aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji
  Mbunge wa Jimbo la
Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia katika  akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye
Jimbo lake  hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika kutokana
na miundombinu ya
barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya
kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo
aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji
 Kushoto ni mmoja wafanyabiashara
wakimuelezea Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia hasara walizozipata kutokana na ubovu wa miundombinu
 Baadhi ya bidhaa za
mbogamboga ambazo zimeharibika kama zinavyoonekana
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiwa na mfanyabiashara mara baada ya kuangalia namna alivyopata hasara kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo pia alitumia nafasi hiyo kuwapa pole.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katika akiwa na wananchji wa Jimbo hilo wakati alipowatembelea hivi karibuni kuona athari za mafuriko kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI
MBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHplQHWbGGpk_vcnkpfFG6ZXttEaxi_Haah3X-8LKTtkj1BJiNpqO6mnwKR3Zr8KE32Ab1_rQZUsIQnWD6GN2P5GtpfXYdI3XWWMd0Ij7nMwEMHe_8lTDEfuI4wgtACc4pcFYc5CroXTaW/s640/IMG_1648.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHplQHWbGGpk_vcnkpfFG6ZXttEaxi_Haah3X-8LKTtkj1BJiNpqO6mnwKR3Zr8KE32Ab1_rQZUsIQnWD6GN2P5GtpfXYdI3XWWMd0Ij7nMwEMHe_8lTDEfuI4wgtACc4pcFYc5CroXTaW/s72-c/IMG_1648.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mbunge-lushoto-awapa-pole-wakulima-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mbunge-lushoto-awapa-pole-wakulima-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy