MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI

Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi vitanda moja kati ya 25 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,...




Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi vitanda moja
kati ya 25 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Sabas Chambasi
ambavyo ni miongoni mwa mgao wa vifaa tiba walivyopewa na Rais John
Magufuli kwa ajili ya wilaya ya Pangani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Pangani, Zainabu Issa
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi Mgao wa mashuka 50 kutoka kwa Rais John Magufuli Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Sabas Chambasi kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kwenye
wilaya ya Pangani katika halfa iliyofanyika kwenye hospitali ya wilaya
ya Pangani juzi wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani, Zainabu Issa



 Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kushoto akiwa ameambatana na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa wakitembelea hospitali ya wilaya ya Pangani kabla ya kukabidhi Msaada wa vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli
 Mganga Mkuu wa wilaya ya
Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akimueleza Mbunge wa Jimbo la Pangani
(CCM) Changamoto zinazowakabili wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa
tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa Mbunge huyo kwa ajili
ya wilaya ya Pangani ambayo ni mashuka 50 na vitanda 25
 Mganga Mkuu wa wilaya ya Pangani, Dkt Juma Mfanga kulia akielezea Changamoto zinazowakabili wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa Mbunge huyo kwa ajili ya wilaya ya Pangani wa pili kutoka  kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso.
 Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Jumaa Aweso akizungumza katika halfa hiyo ambapo alimshukuru Rais John
Magufuli kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa ntiba wilaya ya Pangani
 Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa akizungumza katika halfa hiyo. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso.
 Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) akizungumza katika makabidhiano
hayo
 Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Pangani,Sabasi Chambasi akizungumza katika halfa
hiyo

Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Jumaa Aweso mara baada ya hafla hiyo kwa kumshukuru Rais John Magufuli
kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa tiba kwenye wilaya hiyo
 Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo
(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8ylHWd8sq4BGawVG-_mvUV1yzu8U7Ni0aQ2-b2qtHL1ia9H91KW3H4GQCRo8_hhyrUBJpKymTFrbsQkEMTSYZw-63CTKTkjNgWgaXeNBChNCVFteFdPoGgAR6Ha73hQNt9p7Bwe4tzdDG/s640/IMG_2807.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8ylHWd8sq4BGawVG-_mvUV1yzu8U7Ni0aQ2-b2qtHL1ia9H91KW3H4GQCRo8_hhyrUBJpKymTFrbsQkEMTSYZw-63CTKTkjNgWgaXeNBChNCVFteFdPoGgAR6Ha73hQNt9p7Bwe4tzdDG/s72-c/IMG_2807.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mbunge-aweso-amshukuru-rais-magufuli.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mbunge-aweso-amshukuru-rais-magufuli.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy