F MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA | RobertOkanda

Monday, May 29, 2017

MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGAMeneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu (kushoto) akitoa elimu kuhusu umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko huo kwa wakazi wa Jiji la Tanga kwenye banda lao lililopo katika eneo la Mwahako Jijini Tanga
kunakofanyika maonyesho ya tano ya biashara ya kimataifa.

 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akiptia kwenye banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wakati alipofungua maonyesho ya kimataifa ya  biashara ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga.

 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akisalimiana na mmoja wa watumishi Tanapa wakati wakati alipotembelea banda lao (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akiendelea na shughuli ya kukagua mabanda ya Maonyesho.
Afisa Habari za Utalii (TTB William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda lao.
 Afisa Habari za Utalii (TTB) William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi
waliotembelea banda lao.

 Afisa Habari za Utalii (TTB) William Akile kulia akiongeza na baadhi ya wanafunzi
waliotembelea banda lao.


 Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakitoa elimu kwa wakazi wa Jiji la Tanga katika Banda lao lililopo kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunapofanyika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Tano (kutoka kushoto) ni
Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo
katikati ni Sabrina Komba ambaye ni Afisa Masoko na Elimu kwa umma makao
makuu na kulia ni Afisa matekelezo Macrina Clemens.

 
 Afisa Masoko na Elimu kwa umma makao makuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)Sabrina Komba (kushoto) na Afisa matekelezo Macrina Clemens wakimsikiliza kwa umakini mkazi wa Jiji la Tanga ambaye alipofika kwenye banda lao kupata ufafanuzi kuhusu huduma zinazotolewa na mfuko huo.

 Afisa matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
Macrina Clemens akisitiza jambo kwa mkazi wa Jiji la Tanga kuhusu
umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma
mbalimbali muhimu ikiwemo za matibabu kushoto ni Meneja wa Mfuko huo
Mkoani Tanga, Ally Mwakababu katikati ni 
Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa
Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kulia kwake ni
Afisa Masoko na Elimu kwa umma makao makuu Sabrina Komba. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu (kushoto) akiwa na maafisa wengine wa mfuko huo wakiwa tayari kutoa elimu kwa wakazi wa Jiji la Tanga kuhusu namna wanavyoweza kunufaika kupitia mfuko huo.
 
 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu (kushoto) akitoa elimu kwa mkazi wa Jiji la Tanga ambaye alitembelea banda lao.

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda lao kuhusu faida za wakazi wa Jiji la Tanga kujiunga na mfuko huo lakini pia namna walivyojiandaa na ujio wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

0 comments:

Post a Comment