MAKUMI WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO WA OYES 2017 JIJINI MWANZA

Makumi ya wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake waliohudhuria kwenye mkutano wa Injili wa OYES 2017 (Open Your Eyes and See) jana wa...



Makumi ya wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake waliohudhuria kwenye mkutano wa Injili wa OYES 2017 (Open Your Eyes and See) jana wamefunguliwa na kumpokea Kristo.

Kabla ya kuanza mkutano huo, Mchungaji Garry White (kushoto) kutoka Marekani alitoa semina kwa akina mama, vijana na wanandoa ambapo tamati ya mkutano huo unaofanyika viunga vya Kanisa la EAGT Lumala Mpya, nyumba ya Soko Kuu la Sabasaba Jijini Mwanza ni jumapili June 04,2017.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt. Daniel Kulola, amewasihi watu wote kuhakikisha wanahudhuria mkutano huo uliojaa mahubiri na mafundisho ya neno la Mungu yakilenga kumfungua kila mmoja ili kuuona Ukuu na Utukufu wa Mungu.
#BMGHabari
Mchungaji Garry White kutoka Marekani akihudumu kwenye mkutano wa OYES 2017
Mchungaji Garry White kutoka Marekani akihudumu kwenye mkutano wa OYES 2017
Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola, akihudumu kwenye mkutano wa OYES 2017
Ibada ya kuabudu ikiendelea
Wakazi wa Jiji la Mwanza wakifuatilia mafundisho kwenye mkutano wa OYES 2017 Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza
Mkutano huu ulianza jumamosi Mei 27 na utafikia tamati Jumapili June 04,2017. Muda ni kuanzia saa tisa na nusu mchana isipokuwa jumapili ambapo ibada zitaanza asubuhi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKUMI WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO WA OYES 2017 JIJINI MWANZA
MAKUMI WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO WA OYES 2017 JIJINI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUKAKv6QJSwYjIZxdvq03kFzPRRpg9lXa0iRr7wcm8xjBhcO0eLoKXmGFyHL80aKPSAO_56BtrSf3lLvSIymr47YmkqpeyDniZOyq_9pXP5CWRhPq3xaPgyFXAaneGPMw6SzNyECYfvXA/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUKAKv6QJSwYjIZxdvq03kFzPRRpg9lXa0iRr7wcm8xjBhcO0eLoKXmGFyHL80aKPSAO_56BtrSf3lLvSIymr47YmkqpeyDniZOyq_9pXP5CWRhPq3xaPgyFXAaneGPMw6SzNyECYfvXA/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/makumi-wafunguliwa-kwenye-mkutano-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/makumi-wafunguliwa-kwenye-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy