Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi wa kusini mwa Afrika (Front Line State parties).
Pia
Ndugu Katibu Mkuu ameongoza Majadiliano na vyama Rafiki vilivyoshiriki
Mkutano huo kikiwemo Chama Cha Kikomunisti Cha watu wa China.
Ujumbe
wa CCM umejumuisha katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi (Ndg. Humphrey
Polepole) Katibu wa Siasa na Uhusiano wa kimataifa(Ndg.Ngemela Lubinga)
na watendaji wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama Rafiki
Vimepongeza CCM MPYA NA MWENENDO WAKE.
Pichani kushoto Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wa vyama Rafiki vilivyoshiriki
Mkutano huo kikiwemo Chama Cha Kikomunisti Cha watu wa China.
COMMENTS