IRENE UWOYA BALOZI MPYA WA KAMPUNI YA MKONONI YA ITEL

Kampuni ya simu ya Mkononi ya Itel imemtambulisha Msanii Bongo Movis, Irene Uwoya kuwa Balozi wa kampuni hiyo hapa nchini. ...

Kampuni ya simu ya Mkononi ya Itel imemtambulisha Msanii Bongo Movis, Irene Uwoya kuwa Balozi wa kampuni hiyo hapa nchini.

Akizungumza na waandishi habari leo jijini Dar es Salaam, Irene amesema amejisikia faraja kuwa balozi na kuahidi kuitendea kazi katika kutangaza kampuni hiyo kupitia bidhaa zao za simu.

Amesema kuwa amekuwa akifanya kazi kwa muda wa mwaka mmoja na kuweza kufanya makubaliano ya kuwa balozi katika kuunganisha itel na watanzania  kwa ujumla.

Kwa upande  Mkurugenzi wa Itel, Coopeer Chan amesema kuwa wanatarajia  jamii itafaidika kwa kupata elimu kuhusu bidhaa za kampuni hiyo kupitia kwa balozi Irene Uwoya katika matukio ya kuonyesha ukarimu kwa baadhi ya makundi kwa utoaji wa misaada.

Amesema kuwa wanamkaribisha balozi mpya itel Tanzania Irene Uwoya kuungana na familia ya kubwa ya itel.

"Sote tunafahamu mchango wa Irene Uwoya kwenye jamii amekuwa akielimisha kupitia filamu zake na kutambua umuhimu wake sisi itel Mobile tutashirikiana naye kikamilifu kuhakikisha jamii inapata kile inachotarajia kukipata kwetu na kwake pia"  amesema Chan.
 Mkuruegenzi wa itel, Coopeer Chan akisaini makubaliano  na Msanii Bongo Movis, Irene Uwoya kuwa balozi wa kampuni hiyo leo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyaat Legency  jijini Dar es Salaam.
 Msanii Bongo Movis ,Irene Uwoya akizungumza na waandishi wa habari juu kuwa balozi wa Kampuni ya Simu ya Mkononi leo jijini Dar es Salaam.
 Afisa Masoko  wa Itel, Asha Mzimbili akizungumza na waandshi habari  juu makubaliano katika balozi mpya itel, Irene Uwoya leo jijini Dar es Salaam.
 Mkuruegenzi wa Itel , Coopeer Chan akibadilishana hati ya makubaliano  na Msanii Bongo Movis ,Irene Uwoya kuwa balozi wa kampuni hiyo leo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyaat Legency  jijini Dar es Salaam.
Msanii Bongo Movis, Irene Uwoya akiwa katika picha ya pamoja wafanyakazi Itel leo jijini Dar es  Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IRENE UWOYA BALOZI MPYA WA KAMPUNI YA MKONONI YA ITEL
IRENE UWOYA BALOZI MPYA WA KAMPUNI YA MKONONI YA ITEL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJRUxFl8AT9fn1hPZL1WyxfJOqATG6XzZPC7I8JdKMj4UgHngt0asvB8FrwrV6an5yxH3fPrGtCetGh5UqxDozPibxw6Shx4ZKuGL0HcAXpi8YIAiyrfie9hTB7ylSyANqtCdQBI3crpVO/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJRUxFl8AT9fn1hPZL1WyxfJOqATG6XzZPC7I8JdKMj4UgHngt0asvB8FrwrV6an5yxH3fPrGtCetGh5UqxDozPibxw6Shx4ZKuGL0HcAXpi8YIAiyrfie9hTB7ylSyANqtCdQBI3crpVO/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/irene-uwoya-balozi-mpya-wa-kampuni-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/irene-uwoya-balozi-mpya-wa-kampuni-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy