CHALES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA BIASHARA TANGA

Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha saruji cha  Rhino Tanga, William Malonza, akimuonyesha moja ya bidhaa zizalishwazo na kiwanda hich...

Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha saruji cha  Rhino Tanga, William Malonza, akimuonyesha moja ya bidhaa zizalishwazo na kiwanda hicho, Waziri wa Viwanda na Biashara, Chales Mwijage wakati wa maonyesho ya tano ya Kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako Tanga.
Mwijage ameyafungua maonyesho hayo leo katika viwanja ya maonyesho Mwahako ambayo yamezishirikisha mataifa mbalimbali ya Barani Afrika na Asia.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Chales Mwijage akisalimiana na Afisa Masoko kiwanda cha saruji cha  Rhino Tanga, Carolina Hillary wakati alipotembelea banda la maonyesho ya tano ya Kimataifa yalifunguliwa jana Tanga katika viwanja vya maonyesho Mwahako.


 Waziri wa viwanda na Biashara, Chales Mwijage, akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha Saruji cha Rhino Tanga, William Malonza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika Tanga.

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Chales Mwijaga akipata maelekezo ya namna mkonge unavyoweza kutengeneza dawa  pamoja na mafuta aina mbalimbali.



 Simba ni moja katika wanyama ambao wameletwa kwa ajili ya maonyesho Tanga

Wakazi wa Tanga wakiangalia Kobe ambaye ni moja ya vivutio katika maonyesho ya tano ya Kimataifa yanayofanyika Tanga. (Imeandaliwa na blog ya kijamii ya tangakumekuchablog 0655 902929)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHALES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA BIASHARA TANGA
CHALES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA BIASHARA TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6AAYZ81WJ7jPYEmXVjhWxmoHOPiAcj5Kypn9NDpzs5pNqjB4t5-YVOT-RFc22gXuGvmFrkUdG-gesuGFgCvYktc2LRxQuDdTNAx9aGkCSBpPmZOaHMk8DT8zqxklj4hV-yV0UBl4SZQrm/s640/DSCN0014.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6AAYZ81WJ7jPYEmXVjhWxmoHOPiAcj5Kypn9NDpzs5pNqjB4t5-YVOT-RFc22gXuGvmFrkUdG-gesuGFgCvYktc2LRxQuDdTNAx9aGkCSBpPmZOaHMk8DT8zqxklj4hV-yV0UBl4SZQrm/s72-c/DSCN0014.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/chales-mwijage-afungua-maonyesho-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/chales-mwijage-afungua-maonyesho-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy