CHADEMA YAANZA VIKAO NYETI DODOMA, YAKANUSHA KATIBU MKUU WAKE DKT. MASHINGI KUJIUZULU

  Viongozi wa juu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wakiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho mjini ...


 Viongozi wa juu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wakiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho mjini Dodoma leo Mei 26, 2017. Kwa mujibu wa taarifa ya chama hicho inayopatikana hapo chini, chama hicho kimeanza vikao nyeti vya chama mjini humo leo Ijumaa na kesho Jumamosi, Baraza Kuu la chama hicho litakutana mjini humo Jumamosi Mei 27. Katuka hatua nyingine, Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt.Vincent Mashinji amejiuzulu wadhifa wake. Makene katika taarifa yake aliyoitoa mjini Dodoma amesema."Tumeona tweetter moja inayotembea tena ya kiongozi mmoja wa CCM na nimejibu nimesema kwamba taarifa hizi zinasambazwa na viongozi wa CCM, Katibu Mkuu yupo mjini Dodoma tangu Jumanne kwa sababu kuna kikao cha summit ya TDC, na jana alikuwa anaongoza kikao cha Sekretariati ya chama kwa sababu yeye ndiye mwenyekiti wa kikao hicho na leo yuko kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama ambayo inaandaa agenda za kikao cha baraza kuu na Katibu Mkuu alikuwepo." Alisema Makene.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHADEMA YAANZA VIKAO NYETI DODOMA, YAKANUSHA KATIBU MKUU WAKE DKT. MASHINGI KUJIUZULU
CHADEMA YAANZA VIKAO NYETI DODOMA, YAKANUSHA KATIBU MKUU WAKE DKT. MASHINGI KUJIUZULU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4C20GfGTfCJBBIOsyFtcSL0-FmlOKTIBwDumI6uVmDgA7EB6tBYhM-W3ONFbFT_cPhDeMXN5A6LzT1H2WbKocaCGy7ayhf7U0PA7yzeF_V-gz0D-s4FoaogAPeyAyUUwil5Ht9GopgRs/s640/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4C20GfGTfCJBBIOsyFtcSL0-FmlOKTIBwDumI6uVmDgA7EB6tBYhM-W3ONFbFT_cPhDeMXN5A6LzT1H2WbKocaCGy7ayhf7U0PA7yzeF_V-gz0D-s4FoaogAPeyAyUUwil5Ht9GopgRs/s72-c/index.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/chadema-yaanza-vikao-nyeti-dodoma.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/chadema-yaanza-vikao-nyeti-dodoma.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy