F BULEMBO ATINGA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA LEO, ATAKA MADIANI KUFANYAKAZI KWA KARIBU NA MABALOZI | RobertOkanda

Sunday, May 28, 2017

BULEMBO ATINGA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA LEO, ATAKA MADIANI KUFANYAKAZI KWA KARIBU NA MABALOZI


Tabora, Tanzania

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo, ameendelea na ziara yake ya Kichama katika mikoa mitano ambapo leo ziara hiyo imemfikisha katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora, ambako amefazungumza katika vikao vya ndani na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za CCM za wilaya hizo, Mabalozi na watendani wa CCM na Serikali.


Pamoja a kuzungumzia uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea ngazi za mashina, pia amesisitiza haja na umuhimu wa madiwani kufanya kazi kwa Karibu na Mabalozi. Zifuatazo ni mfululizo wa matukio katika picha kuhusu ziara hiyo, tafadhali endelea kutazama.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akiongea na
na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za CCM za wilaya hizo, Mabalozi na watendani wa CCM na Serikali.


0 comments:

Post a Comment