F BODI YA (AQRB) YAWAPA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MAJANI YA CHAI JUU YA FANI YA UBUNIFU MAJENGO | RobertOkanda

Sunday, May 21, 2017

BODI YA (AQRB) YAWAPA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MAJANI YA CHAI JUU YA FANI YA UBUNIFU MAJENGO1
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB)  , Dkt Geraldine Kikwasi akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari  Majani ya Chai  iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo kuwapa elimu kuhusiana na  fani mbili za ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
 2
ARCH. Daniel Matondo kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi akiwaelezea Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari  Majani ya Chai  shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi katika sekta ya ujenzi.
3
 Mwalimu wa shule ya Sekondari  Majani ya Chai akiwasisitizia wanafunzi kusoma zaidi masomo ya sayansi wakati wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo.
4
5
Wanafunzi kutoka chuo cha ardhi. wanayesomea fani ya Wabunifu Majengo wakiwapa elimu wanafunzi  kuhusiana wasomo ya fani ya wabunifu majenge.
6
 Afisa Uhusiano kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB)  Bw.Hamis Sungura. akiwatambulisha viongozi wa Bodi.
7
 Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari  Majani ya Chai  iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakifuatilia elimu ya fani mbili ya ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
10Viongozi  wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) ,  wakiwasili katika Shule ya Sekondari  Majani ya Chai  iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakati wa  ziara ya kuhawamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo kuwapa elimu  kusomea fani mbili za ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi (mbele kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi, Dkt Geraldine Kikwasi, katikati ARCH Dani Matondo na Kushoto Afisa Uhusiano wa Bodi, Hamis Sung

0 comments:

Post a Comment