F WIZARA YA ARDHI, TRA WATOA ELIMU KUHUSU TOFAUTI YA KODI YA MAJENGO, KODI YA ARDHI | RobertOkanda

Friday, April 21, 2017

WIZARA YA ARDHI, TRA WATOA ELIMU KUHUSU TOFAUTI YA KODI YA MAJENGO, KODI YA ARDHI


Meneja wa Elimu na Huduma za Kodi wa mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Gabriel Mwangosi akitoa mada kwa waandishi wa habari katika semina iliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Robert Okanda Blogspot)   

Baadhi ya waandishi wa habari wakihudhurudhia semina iliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi jijini Dar es Salaam leo.

Afisa Mwandamizi wa Kodi wa mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Sydney Mkamba akiongea na waandishi wa habari katika semina iliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi jijini Dar es Salaam leo. Pamoja naye ni Mkuu wa Kodi za Ardhi na Kumbukumbu wa Wizara hiyo, Denis Masami.    0 comments:

Post a Comment