WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (B...





Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpura wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.



Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Anastazia Wambura (Kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.



Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Nchini
Yusuph  Omary akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya michezo hasa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya
Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.



Katibu  Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  Selestine Mwesigwa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


Mwanasheria wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) Emmanuel Muga Agustino akifafanua masuala ya kwa kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka
Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.



Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface
Wambura (kushoto) akieleza masuala mbalimbali yahusuyo Ligi Kuu Tanzania Bara
kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo
pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la
Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


(Picha na Daudi Manongi Dodoma)




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA
WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA
https://i.ytimg.com/vi/twYZuxiiWik/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/twYZuxiiWik/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-mwakyembe-akutana-na-bmt-bodi-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-mwakyembe-akutana-na-bmt-bodi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy