WAZIRI DKT. MWKAKYEMBE AIAGIZA BASATA KUSIMAMIA MISS TANZANIA.

Na Shamimu Nyaki-WHUSM. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (...



Na Shamimu Nyaki-WHUSM.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kusimamia mashindano ya Miss Tanzania kwa ufanisi na kuhakikisha yanazingatia kanuni za uandaaji wa mashindano ya urembo.
Mhe. Mwakyembe ameyasema hayo jana Mjini Dododma   wakati alipokutana na Kamati ya Miss Tanzania iliyoongozwa na mwenyekiti, Hashim Lundenga  na kuwataka kusimamia vyema shindano hilo ili kupata washindi wenye viwango vinavyotakiwa Kimataifa.
“Nawaagiza BASATA simamieni shindano hili ili tupate washindi wenye viwango watakaosaidia Tanzania kujitangaza Kimataifa katika urembo”, Alisema Mhe. Mwakyembe.
Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Braza la Sana la Taifa (BASATA), Godfrey Muingereza amemuahidi Mhe Waziri Mwakyembe kuwa atasisamia kwa karibu na kwa ufanisi  mashindano ya Miss Tanzania ili yawe na ubora zaidi utakaowezesha nchi kufanya vizuri kwenye mashindano ya Dunia.
Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga ameahidi kushirikiana na Wizara pamoja na BASATA katika kuandaa na kuboresha   shindano la Miss Tanzania   ili kuwa na nguvu ya pamoja katika kupata ushindi utakaoletea Taifa heshima.
Mashindano ya Miss Tanzania yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu yanaandaliwa na kusimamiwa na Kamati inayoongozwa na Mwenyekiti, Hashim Lundenga, Katibu wake, Bosco Majaliwa na Mjumbe, Deo Kapten.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Miss Tanzania mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwake Mjini Dodoma jana. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, Godfrey Muingereza na Mwasisi wa Mashindano hayo, pia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (wa pili kushoto).  




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI DKT. MWKAKYEMBE AIAGIZA BASATA KUSIMAMIA MISS TANZANIA.
WAZIRI DKT. MWKAKYEMBE AIAGIZA BASATA KUSIMAMIA MISS TANZANIA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEig5PVexrBDLoOKR9bqyw6SRX3G1x-RQKVV3SYFcM5iYa8OdzxI5i0a41iaHgb90TaHaYQIuUNVrIKy-PHjKdleHKfs2VwyQCE_wKVar3FNHiHPZS4B6MN-nk0yDtihlTri40hEMw4oG5c/s640/IMG_20170426_093936_580.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEig5PVexrBDLoOKR9bqyw6SRX3G1x-RQKVV3SYFcM5iYa8OdzxI5i0a41iaHgb90TaHaYQIuUNVrIKy-PHjKdleHKfs2VwyQCE_wKVar3FNHiHPZS4B6MN-nk0yDtihlTri40hEMw4oG5c/s72-c/IMG_20170426_093936_580.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-dkt-mwkakyembe-aiagiza-basata.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-dkt-mwkakyembe-aiagiza-basata.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy