WATUHUMIWA 267 WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MAKOSA MBALIMBALI.

Na Ripota wetu Globu ya Jamii. Jeshi la Polisi limewakamata Jumla ya watuhumiwa 267 kwa Makosa mbalimbali ya kihalifu pamoja na Madawa y...Na Ripota wetu Globu ya Jamii.

Jeshi la Polisi limewakamata Jumla ya watuhumiwa 267 kwa Makosa mbalimbali ya kihalifu pamoja na Madawa ya kulevya, Unyang'anyi wa kutumia Silaha katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda Polisi kanda Maalum Dar es salaam Simon Sirro amesema operation hii ni endelevu na jumla ya kete 366 za dawa za kulevya zimekatwa pamoja puli za bangi 150 na Misokoto ya bhangi 51.

Aidha Sirro amesema kuwa Operation kali ya kuwasaka wahalifu wa makosa hayo mbalimbali ikiwemo kosa la kupatikana na madawa ya kulevya bado inaendelea na hivyo tunawaomba raia wema waendelee kutoa Ushirikiano mzuri kwa Jeshi la Polisi ili kufanikisha kukamatwa kwa waalifu.

" Watuhumiwa wote kwa ujumla bado wanaendelea kuhojiwa kulingana na makosa yao na pindi upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani kwa hatua nyingine zaidi" amesema Sirro.

Pia Kamishna huyo ameongeza kuwa mnamo tarehe 15 mwezi huu 2017 majira ya saa moja usiku maeneo ya Kiwalani kwa Ally Mboa, Jeshi la polisi limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya Shotgun ambayo imekatwa kitako na mitutu na huku namba zake zikiwa zimefutwa.

" Siraha hiyo ilipatikana wakati Askari wakiwa doria katika maeneo hayo ambapo yaliskia harufu ya bhangi na kuanza kufuatilia ili kubaini ilipokuwa ikitokea. Ghafla watu wawili wasiofahamika walikurupuka na kupanda pikipiki ambayo haikusomeka namba kisha kuangusha begi moja la mgongoni ambalo lilikuwa na Silaha" amesema Sirro.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Simon Sirro akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na watuhumiwa waliokamatwa kwa Makosa mbalimbali ya kiharifu katika jiji la Dar es Salaam. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Simon Sirro akionyesha baadhi ya vitu mbalimbali walivyo vikamata leo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WATUHUMIWA 267 WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MAKOSA MBALIMBALI.
WATUHUMIWA 267 WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MAKOSA MBALIMBALI.
https://1.bp.blogspot.com/--CAYMPcdtlo/WPdupD6F3-I/AAAAAAAAKXQ/S5vZrLu7wlkVKAkIqnXMyVUia9aUBMF8ACLcB/s640/7.jpg
https://1.bp.blogspot.com/--CAYMPcdtlo/WPdupD6F3-I/AAAAAAAAKXQ/S5vZrLu7wlkVKAkIqnXMyVUia9aUBMF8ACLcB/s72-c/7.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/watuhumiwa-267-wakamatwa-jijini-dar-es.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/watuhumiwa-267-wakamatwa-jijini-dar-es.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy