WABUNGE WAAGA MWILI WA MBUNGE MWENZAO, MAREHEMU DKT. ELLY MARKO MACHA BUNGENI MJINI DODOMA

Baadhi ya wabunge wakiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu mbunge mwenzao, Mhe. Dkt. Elly Marko Macha kwenye viwanja vya bunge ...


Baadhi ya wabunge wakiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu mbunge mwenzao, Mhe. Dkt. Elly Marko Macha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 21, 2017. 
 Maafisa usalama wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Elly Marko Macha, wakati wa ibada ya kuaga mwili wake kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma leo Aprili 21, 2017. Spika wa bunge Job Ndugai, aliwaongoza wabunge kuaga mwili wa Dkt. Macha aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum, (CHADEMA). Dkt. Elly Macha ambaye alikuwa mlemavu wa macho, alifariki dunia mjijini London nchiniUingereza alikokuwa akipatiwa matibabu. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Arusha kwa mazishi.
(PICHA NADAUDI MANONGI-MAELEZO, DODOMA).
 
Spika wa bunge Mhe. Job Ndugai, akizunguzma wakati wa ibada hiyo
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
 Spika wa bunge Mhe. Job Ndugai
 Kiongozi wa kambi ya upiznani bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
Viongozi wakiwa wanafuatilia ibada hiyo
 Familia ya marehemu.
 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
Mhe. Mbowe, akitoa shukrani zake.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WABUNGE WAAGA MWILI WA MBUNGE MWENZAO, MAREHEMU DKT. ELLY MARKO MACHA BUNGENI MJINI DODOMA
WABUNGE WAAGA MWILI WA MBUNGE MWENZAO, MAREHEMU DKT. ELLY MARKO MACHA BUNGENI MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNrmbjs0UsatJ0nDLEZnzgH82Ju2DRd93A40FMkQEURAzHMC6_IAjXqldvJC7FDO377-VndyYA3GoU1_F-iSub8Z1z1shIFAd6FX8lC4aIB156J8RsmSs_e8DfIFNSc5ShAJw_RNmCExs/s640/8516-sehemu+ya+wabunge.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNrmbjs0UsatJ0nDLEZnzgH82Ju2DRd93A40FMkQEURAzHMC6_IAjXqldvJC7FDO377-VndyYA3GoU1_F-iSub8Z1z1shIFAd6FX8lC4aIB156J8RsmSs_e8DfIFNSc5ShAJw_RNmCExs/s72-c/8516-sehemu+ya+wabunge.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/wabunge-waaga-mwili-wa-mbunge-mwenzao.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/wabunge-waaga-mwili-wa-mbunge-mwenzao.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy