VIJANA WA CHUO CHA KODI NI HAZINA KWA FAIDA- TRA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii VIJANA wanaoandaliwa na chuo cha kodi nchini wanatakiwa kuangaliwa kwa jicho pana zaidi kwani hao ni ha...



Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
VIJANA wanaoandaliwa na chuo cha kodi nchini wanatakiwa kuangaliwa kwa jicho pana zaidi kwani hao ni hazina kwa taifa katika masuala ya kodi na ushuru wa Forodha.
Hayo ameyasema leo , Meneja wa Mafunzo na Maendeleo ya Watumishi wa TRA, Yassini Mwita wakati siku ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, amesema kuwa wanafunzi wameonyesha umahiri katika masuala ya kodi ambapo ni hazina ya taifa watapotoka katika chuo hicho.

Amesema wanafunzi wamewasilisha maada mbalimbali juu ya ukusanyaji wa kodi na forodha kwa kile ambacho walifundishwa darasani na kufanyia kazi kwa mazingira na sheria watakayokutana nayo pindi wanapohitimu katika chuo hicho.

Mwita amesema wanafunzi hao wakitoka wanaweza kusaidia makampuni juu ya ukokotoaji wa kodi kuliko kampuni ikawa inafanya yenyewe bila kuwa na mtaalamu wa masuala ya kodi.

Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi, Nadhiru Juma amesema siku ya wanafunzi wa chuo hicho ni muhimu kutokana na wanafunzi kuonyesha uwezo wa darasani na jinsi watavyofanyia kazi kile ambacho wanakisomea.

Amesema kuwa wanafunzi wameonekana kuiva kwa kile kinachofundishwa katika chuo hicho na kuweza kufanyia kazi kwa weledi taifa lao katika masuala ya kodi na ushuru wa forodha.

Meneja wa Mafunzo na Maendeleo ya Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Yassini Mwita akizungumza na waandishi habari juu siku ya wanafunzi wa chuo cha kodi wakizungumzia namna ya kuwaandaa wanafunzi hao kuja kuhakikushha wanazisaidia makampuni katika Ukokotoaji wa Kodi leo jijini Dar es Salaam. 



Jaji Mkuu wa Kutoa Alama kwa Wanafunzi wa Chuo Kodi Tanzania, Pili Marwa akizungumza katika siku ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi na kuwataka kujiandaa kuja kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa kodi na ushuru wa Forodha leo jijini Dar es Salaam.

Mwanafunzi wa Chuo cha Kodi, Charloite Adamu akionyesha umahiri wakati wa kuwasilisha mada katika siku ya wanafunzi wa chuo hicho uliondeshwa na Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA) leo jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi wakifatilia maada katika siku ya kodi ya chuo hicho leo jijini Dar es Salaam. 



Afisa Uhusiano wa TRA, Oliver Njunwa akizungumza wakati ushereheshaji wa Siku ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi leo jijini Dar es Saalaam

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIJANA WA CHUO CHA KODI NI HAZINA KWA FAIDA- TRA
VIJANA WA CHUO CHA KODI NI HAZINA KWA FAIDA- TRA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvfjZrsf5KiNLuZTenindFoL9PapV4s95nSPAL-JwLCIeJk0hEmMJS0e7ieiLodE6SVGxurPpoTAldMqbt2A4NEeG1GwdbAKw5Ew5KjqgkqdxDN-SZ4Y8n1-dZxscW35b_QX6tinMfvGz1/s640/01+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvfjZrsf5KiNLuZTenindFoL9PapV4s95nSPAL-JwLCIeJk0hEmMJS0e7ieiLodE6SVGxurPpoTAldMqbt2A4NEeG1GwdbAKw5Ew5KjqgkqdxDN-SZ4Y8n1-dZxscW35b_QX6tinMfvGz1/s72-c/01+%25282%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/vijana-wa-chuo-cha-kodi-ni-hazina-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/vijana-wa-chuo-cha-kodi-ni-hazina-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy