UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI

  Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nch...



 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchini juu ya namna watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika kukuza biashra zao mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Hurbert  Mwashiuya juu kama mnufaika wa mradi mara baada ya kupata ruzuku 

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi  cheti kwa Bi , Aika Mtei kma mmoja wa wanufaika wa ruzuku mara baada ya kuandika mradi juu ya biashara katika mtandao

 Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwaeleza watendaji wa Benki ya UBA juu ya umuhimu wa kuwasaidia wanufaika hao hili waweze kuwa mfano kwa wengine

Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika na baadhi ya watendaji wa beki hiyo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI
UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis78rGSeZpevbllNZvyPLi7xCKYey7-jB1O0wG1wHrtpdalUaCjPNBV_kWA5QS9RyaWhE5kJRo1jweiIaCZhBxHFf46bRQT3N073vSeg69zdducbCvb9OihNl9517CO41DRTERCreMkQs/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis78rGSeZpevbllNZvyPLi7xCKYey7-jB1O0wG1wHrtpdalUaCjPNBV_kWA5QS9RyaWhE5kJRo1jweiIaCZhBxHFf46bRQT3N073vSeg69zdducbCvb9OihNl9517CO41DRTERCreMkQs/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/uba-yatoa-vyeti-kwa-wadau-waliopata.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/uba-yatoa-vyeti-kwa-wadau-waliopata.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy