F TTB TANZANIA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUTANGAZA VIVUTIO VYAKE VYA UTALII NCHINI | RobertOkanda

Wednesday, April 19, 2017

TTB TANZANIA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUTANGAZA VIVUTIO VYAKE VYA UTALII NCHINIMwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mhayo akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu adhma ya taasisi hiyo kutangaza Utalii wake Nchini Israeli. Pamoja naye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Devotha Mdachi na Afisa Uhusiano wa Taasisi hiyo, Augustina Makoye. (Picha na Robert Okanda Blogspot)

Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Devotha Mdachi akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu adhma ya taasisi hiyo kutangaza Utalii wake Nchini Israeli. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mhayo.

Baadhi ya wana habari wakisikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mhayo akiongea nao jijini Dar es Salaam leo.


0 comments:

Post a Comment