Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Martin Manyanya, akizunumza katika hafla ya kuzindua madarasa 9...
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Martin Manyanya, akizunumza katika hafla ya kuzindua madarasa 9
mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi
Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini Aprili 26, 2017. Kulia ni Mbunge wa jimbo
la Dodoma mjini na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu) Mhe. Anthony Mavunde.
Naibu
ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa
Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde akizungumza wakati hafla
ya kuzindua madarasa 9 mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu
katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini. Wapili kushoto ni
mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya.
Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya wakati hafla ya kuzindua madarasa 9 mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini.
Sehemu ya vyumba vya madarasa yaliyozinduliwa.
Baada ya uzinduzi ni kuburudika
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya amezindua vyumba 9 vya madarasa mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini.
Ujenzi huo umewezeshwa na program ya P4R "Lipa kulingana na Matokeo" ambapo jumla ya Tsh 192m zimetumika kukamilisha ujenzi huo.
Katika kurahisisha ufundishaji na utoaji wa huduma za kielimu shuleni hapo, Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde ameahidi kuichangia shule seti moja ya computer.
COMMENTS