F RAIS DKT. MAGUFULI KUPOKEA TAAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI WA UMMA | RobertOkanda

Thursday, April 27, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI KUPOKEA TAAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI WA UMMA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz

Faksi: 255-22-2113425OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Chamwino,Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kesho tarehe 28 Aprili 2017, atapokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa Umma katika Ukumbi wa Chimwaga Mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo itawasilishwa kwa Mheshimiwa Rais na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Angellah Kairuki.
Zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa Umma liliendeshwa na Serikali kuanzia Mwezi Oktoba mwaka 2016.

Jaffar Haniu,
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU,
Chamwino, Dodoma.
27 Aprili, 2017

0 comments:

Post a Comment