RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma tayari kwa kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari yake ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) Elius Mwakalinga kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama  kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma. Wakwanza kulia Katibu Mkuu wa Wizara wa Fedha Doto James, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. Kikao hicho pia kiliwahusisha Viongozi wa CDA, Manispaa ya Dodoma pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji hao kabla ya kuondoka mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi(hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma kabla ya kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro.


Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuondoka kuelekea mkoani Kilimanjaro. (PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO
RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO
https://2.bp.blogspot.com/-BF9CO17Mr4s/WQRuDjwcnnI/AAAAAAAA8c8/ESKSET_6HkYggXNYD6JiReA9hHIcGH1PACLcB/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-BF9CO17Mr4s/WQRuDjwcnnI/AAAAAAAA8c8/ESKSET_6HkYggXNYD6JiReA9hHIcGH1PACLcB/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-aondoka-mkoani-dodoma.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-aondoka-mkoani-dodoma.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy